Mtu na boss wake

Mtu na boss wake

Ila haya maisha kweli ni kuwahi yaani Kitenge amekuwa mwajiriwa wa mtoto wa Tandale, Kitenge kutoka gazeti la Mfanyakazi miaka hiyo wakati hata Diamond hajaanza shule ya vidudu wala hajui maiki ni kitu gani,akaja kwa Majizzo enzi hizo Majizo anatumwa na akina Kitenge pale Radio One ,baada ya muda kibao kikageuka akawa yeye na Sebo ndio wa kutumwa,vilevile Sebo alikuwa bosi wa Majizzo EA radio ,baada ya muda sasa anatumwa na Majizzo.Kweli maisha ni mzunguko usimdharau aliyechini kuna siku atakuwa juu yako,Edo nae kawa mtu wa kutangatanga tu.
yani kama gwalide tu
 
halaf ni Tanzania tu wachambuzi wa michezo unakuta wengi hawajawah kuwa wachezaji wala makocha wa mpira
Ninachokiona Mimi,Uchambuzi,Ukocha na Uchezaji ni vitu vyenye utofauti kidogo.

Kwa mfano wapo wachezaji ambao kuchambua hawawezi.kama ilivyo kwa wachambuz baadhi mpira hawa kufanikiwa kucheza.

Na ndio maana wapo makocha wakubwa duniani kama Andre boas,Hudson n.k,Ni makocha lkn hawakufanikiwa kucheza.
 
Back
Top Bottom