Mtu na boss wake

yani kama gwalide tu
 
halaf ni Tanzania tu wachambuzi wa michezo unakuta wengi hawajawah kuwa wachezaji wala makocha wa mpira
Ninachokiona Mimi,Uchambuzi,Ukocha na Uchezaji ni vitu vyenye utofauti kidogo.

Kwa mfano wapo wachezaji ambao kuchambua hawawezi.kama ilivyo kwa wachambuz baadhi mpira hawa kufanikiwa kucheza.

Na ndio maana wapo makocha wakubwa duniani kama Andre boas,Hudson n.k,Ni makocha lkn hawakufanikiwa kucheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…