Mtu na dada yake wafunga ndoa! [PHOTOS]


Ndugu yangu,huyo achana nae nahisi nae alikuwa anataka apate attention ya watu tu..
Mbona waarabu wanaoa mtoto wa shangazi?Si kila kitu hufanywa na dini fulani ila ni tabia na maamuzi ya mtu tu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Swts umenena.Hao sio ndugu wa damu.Wakioana ni sawa tu!
 
Hawa jamaa mbona kama wakiristo? Wache na imani yao... Wameshazoea mambo hayo.

Mnapenda udini ila tukiamua tunawageuza mishkaki nyooooh!mada kama hii ukristo unakujaje,hao sio ndugu wa damu hata wakioana haina shida,udini wako peleka kwenu!
 
kwani wahindi wanaishije? hata kwetu Rwanda unarusiwa kumwoa mtoto wa shangazi
 
Sio ndugu wa damu hao

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Unategemea nini kutoka kwanye kizazi cha laana ya unga wa kulevya?
 

Hahahahaa na movie iendelee
 
Ndo mazara ya kuwafungia watoto ndani
 
kwani wahindi wanaishije? hata kwetu Rwanda unarusiwa kumwoa mtoto wa shangazi

Unajua ndio maana wanyarwanda mna-'inbreeding depression', kuoana oana ndugu wa karibu.., google the term..
 
Kuna jimbo moja huko lakini juzijuzi wamehalalisha uvutaji wa bangi, hudhani kuwa pengine ndiyo madhara yake yanazidi kuenea kuelekea sehemu zingine?

sio california..maana ndo kilimo kikuu kinapotokea...indoor plantation ya bange
 
hawa wajiandae kuzaa ki cyclone..au one eyed monster ka sio mtoto atakaye kuwa na mtindio wa ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…