Mtu na dada yake wafunga ndoa! [PHOTOS]

Mtu na dada yake wafunga ndoa! [PHOTOS]

Hapa ukristo umeingia vp? Ninyi ni aina ya watu ambao hamkustahili mpate hata access ya JF, maana mnajitahidi kwa nguvu zote kupandikiza mbegu za udini. Embu angalia nchi Africa ya kati baada ya kufanikiwa kuitunbukiza nchi kwenye machafuko ya udini; nani kapatikana mshindi?

Ndugu yangu,huyo achana nae nahisi nae alikuwa anataka apate attention ya watu tu..
Mbona waarabu wanaoa mtoto wa shangazi?Si kila kitu hufanywa na dini fulani ila ni tabia na maamuzi ya mtu tu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Swts umenena.Hao sio ndugu wa damu.Wakioana ni sawa tu!
 
Hawa jamaa mbona kama wakiristo? Wache na imani yao... Wameshazoea mambo hayo.

Mnapenda udini ila tukiamua tunawageuza mishkaki nyooooh!mada kama hii ukristo unakujaje,hao sio ndugu wa damu hata wakioana haina shida,udini wako peleka kwenu!
 
kwani wahindi wanaishije? hata kwetu Rwanda unarusiwa kumwoa mtoto wa shangazi
 
Unategemea nini kutoka kwanye kizazi cha laana ya unga wa kulevya?
 
Waacheni walale!
Hawana undugu hao na wameamua ili kumuenzi mamayao.
Sio ndugu. Binti ndo binti kijana alikuwa akisaidiwa na whit so.. For me its okay tena ndo upendo wadhati. Its awkward though ila as they r not related by blood i see nah problem kwakweli!

Hahahahaa na movie iendelee
 
kwani wahindi wanaishije? hata kwetu Rwanda unarusiwa kumwoa mtoto wa shangazi

Unajua ndio maana wanyarwanda mna-'inbreeding depression', kuoana oana ndugu wa karibu.., google the term..
 
Kuna jimbo moja huko lakini juzijuzi wamehalalisha uvutaji wa bangi, hudhani kuwa pengine ndiyo madhara yake yanazidi kuenea kuelekea sehemu zingine?

sio california..maana ndo kilimo kikuu kinapotokea...indoor plantation ya bange
 
hawa wajiandae kuzaa ki cyclone..au one eyed monster ka sio mtoto atakaye kuwa na mtindio wa ubongo
 
Back
Top Bottom