FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #21
even though.., nahic wanapotea..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kalikuwa kateja..?Hivi haka ka binti kaliacha substance abuse?
Kwani kalikuwa kateja..?
Hapa ukristo umeingia vp? Ninyi ni aina ya watu ambao hamkustahili mpate hata access ya JF, maana mnajitahidi kwa nguvu zote kupandikiza mbegu za udini. Embu angalia nchi Africa ya kati baada ya kufanikiwa kuitunbukiza nchi kwenye machafuko ya udini; nani kapatikana mshindi?
Hawa jamaa mbona kama wakiristo? Wache na imani yao... Wameshazoea mambo hayo.
Hawa jamaa mbona kama wakiristo? Wache na imani yao... Wameshazoea mambo hayo.
Waacheni walale!
Hawana undugu hao na wameamua ili kumuenzi mamayao.
Sio ndugu. Binti ndo binti kijana alikuwa akisaidiwa na whit so.. For me its okay tena ndo upendo wadhati. Its awkward though ila as they r not related by blood i see nah problem kwakweli!
Huyo mvulana ni adopted child wa mama yake.How are they related?
kwani wahindi wanaishije? hata kwetu Rwanda unarusiwa kumwoa mtoto wa shangazi
Kuna jimbo moja huko lakini juzijuzi wamehalalisha uvutaji wa bangi, hudhani kuwa pengine ndiyo madhara yake yanazidi kuenea kuelekea sehemu zingine?