Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Haya karibu Dar hapa tupate chips mayai, kuku wa kizungu(broila), baga na Juice ya parachichi kwa pembeni.
Angalau kwa leo upumzike kunywa togwa na kipolo cha wali.
Hahahaha.
Hahaa! Usijali aisee. Nawe karibu tupalilie
 
Hahaa! Utaweza au ndio utataka upalilie huku umefunikwa mwamvuli.

Ni maharage pia kuna kasehemu kana mihogo.
Weee wewe, nikabidhi tu shamba hilo ndo utaona kazi yangu ila usije kimbia wewetu.

Nataka hilo la maharage ndo linanifaa Mimi!.
 
Mi nataka kukutana na Niffa.siku akija hapa The RockCity Mwanza town please naomba anichek.Niffa popote ulipo ikufikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…