Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

sasa kwa taarifa yako hana msambwanda wala nn,ni kembambaaa
Mimi siwazii huwa msambwanda mkuu natengeneza picha ya Cleopatra tu nadhani unamjua huyu mrembo wa enzi hizo.
 
Uyo mshana JR atakwambia mkutane makaburini
 
Reactions: BAK
Shukrani sana Mkuu. Kuwemo ndani ya hili kundi na watu hawa ni heshima kubwa sana. Mmoja ni mkali sana humu ana uwezo mkubwa sana wa kupanga hoja. Napenda sana kumsoma ila tu ni mrozi na baadhi ya threads zake mhh! Lol! [emoji1431][emoji1431][emoji1431]

MANI Ushimen BAK mshana jr Bujibuji Invisible the moderator mwenyewe @KARANJA007
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…