Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Wanangu mtaalam wa magari#RRONDO,Mtaalam aviation [HASHTAG]#BARAFU[/HASHTAG],[HASHTAG]#SOPHIST[/HASHTAG], [HASHTAG]#KILAM[/HASHTAG] [HASHTAG]#FURHER[/HASHTAG] most wanted man [emoji109] [emoji2] mchawi wa wachawi na mzee wa ndumba(PUNJE) MSHANA Jr.[HASHTAG]#IZO[/HASHTAG] [HASHTAG]#CONSULT[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NUMBISA[/HASHTAG]
Uyo mshana JR atakwambia mkutane makaburini
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Shukrani sana Mkuu. Kuwemo ndani ya hili kundi na watu hawa ni heshima kubwa sana. Mmoja ni mkali sana humu ana uwezo mkubwa sana wa kupanga hoja. Napenda sana kumsoma ila tu ni mrozi na baadhi ya threads zake mhh! Lol! [emoji1431][emoji1431][emoji1431]

MANI Ushimen BAK mshana jr Bujibuji Invisible the moderator mwenyewe @KARANJA007
 
Back
Top Bottom