white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,321
- 2,488
unajua kiswahili fasaha?Mimi napenda kukutana na Bibi kifimbo cheza(Faiza foxy)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua kiswahili fasaha?Mimi napenda kukutana na Bibi kifimbo cheza(Faiza foxy)
duh umestaafu mapema mno...ukiwa na nguvu na taifa linakuhitaji,vikorea navyo vipi ,vizuri?
Mimi siwazii huwa msambwanda mkuu natengeneza picha ya Cleopatra tu nadhani unamjua huyu mrembo wa enzi hizo.sasa kwa taarifa yako hana msambwanda wala nn,ni kembambaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji121].......Mimi ni kiboko yao!!
Well n' good![emoji3] [emoji3]
Tuombeane afya na uzima
Nawish siku nikuone pia ulivyo
aaah sanaaa,basi akitoka kifungoni atakutana na ujumbe wake mkuuMimi siwazii huwa msambwanda mkuu natengeneza picha ya Cleopatra tu nadhani unamjua huyu mrembo wa enzi hizo.
😀😀😀😀😀😀 Kweli kabisa tena usisahau na sandaMshana jr atakuambia mkutane Makaburini [emoji12]
Uyo mshana JR atakwambia mkutane makaburiniWanangu mtaalam wa magari#RRONDO,Mtaalam aviation [HASHTAG]#BARAFU[/HASHTAG],[HASHTAG]#SOPHIST[/HASHTAG], [HASHTAG]#KILAM[/HASHTAG] [HASHTAG]#FURHER[/HASHTAG] most wanted man [emoji109] [emoji2] mchawi wa wachawi na mzee wa ndumba(PUNJE) MSHANA Jr.[HASHTAG]#IZO[/HASHTAG] [HASHTAG]#CONSULT[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NUMBISA[/HASHTAG]
[emoji8] [emoji779]mshana Jr
[emoji125] [emoji779] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Uyo mshana JR atakwambia mkutane makaburini
pamoja sanaaa mkuu wa kitengo
Allah na ajalie iwe hivyo UkhutyInshaAllah ipo siku tutaonana tu
Allah n ajalieInshaAllah ipo siku tutaonana tu
InshaAllah ipo siku tutaonana tu
Wewe ni Alwatani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mm je