Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kwa hiyo wewe unavyoelewa mmiliki wa JF anaitwa Max Macello?Acha upunguani wewe kiazi
Unabisha na vitu ambavyo huvijui
Basi mmiliki wa Jf babu yako.
typing error, ungejiongeza kwa kumsawazisha kuliko kubishana bila sababuKwa hiyo wewe unavyoelewa mmiliki wa JF anaitwa Max Macello?
Kwani mleta mada amesema kukutana au kuonana kwa ajili ya mapenzi?Suala la kutamani kukutana na mtu anonymous kwangu hata siliwazii sana.
Yaani likija wazo la kwamba unaweza tamani kuonana na ID ya kike kama huyu espy unakuja kukuta kumbe ni mwanaume kama chige daaah, hapo hamu inakata kabisa[emoji23][emoji23]
Hata mnaotongoza PM mnajitahidi sana asee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmiliki anaitwa Max Macello?, kama haitwi hivyo niombe radhi kwa kuniita ni punguani na kiazi.typing error, ungejiongeza kwa kumsawazisha kuliko kubishana bila sababu
Omba mungu mwanao asipate akili kama zako.
Kiwembe unakata nini?mimi ni kiwembe
mbabaMshana Jr........ Hivi huyu ni M kaka... M baba..... Au m babu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana Jr........ Hivi huyu ni M kaka... M baba..... Au m babu
mbaba
Ndo yuko kwa avatar yake eeh..... Nimchek vizur[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wew ni me au ke[emoji6]mbaba
Yaani nikiwaza kuwa unaweza hisi id ya kike ni mwanamke kumbe uhalisia ni mwanaume, basi hata kuonana tu hamu sina.Kwani mleta mada amesema kukutana au kuonana kwa ajili ya mapenzi?
He he wakunyumba hivi me hunijui eenhlara 1
Shunie
Dinazarde
BAK
evelyne Salt
Nyani Ngabu
espy
MBITIYAZA
Saint Ivuga na wewe basi naomba nikuone