Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Suala la kutamani kukutana na mtu anonymous kwangu hata siliwazii sana.
Yaani likija wazo la kwamba unaweza tamani kuonana na ID ya kike kama huyu espy unakuja kukuta kumbe ni mwanaume kama chige daaah, hapo hamu inakata kabisa[emoji23][emoji23]

Hata mnaotongoza PM mnajitahidi sana asee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani mleta mada amesema kukutana au kuonana kwa ajili ya mapenzi?
 
The Bold
Huyu jamaa anapost vitu adimu sana kwenye jukwaa Intelijensia.
 
Faiza foxy......... Hua natafakari ,hivi kweli ni m bibi au masihala
 
Back
Top Bottom