[emoji2] [emoji2] [emoji2] kila mahali Msata zaidi hasa siku za weekendMmh unapatikana msata
Hizi takwimu zako za uongo mbona mm sipo apo?lara 1
Shunie
Dinazarde
BAK
evelyne Salt
Nyani Ngabu
espy
MBITIYAZA
Saint Ivuga na wewe basi naomba nikuone
Zimechakachuliwa....Hizi takwimu zako za uongo mbona mm sipo apo?
Yaani sipatii picha hiyo crew inakamilika paaap!! Nahisi nitaondoka mbavu zimekatika.ukweli mie kwa wanawake natamani kukutana na wanwake wale very charming !yaan wana kautukutu fulan hv !sipendag kukaa na mtu mpoleee ambaye haongei !yaan napenda kukutana na mtu ambaye tukiamua kucheka tunacheka haswa na ikiwezekana kufanya kaukorofi fulan mweee mweee !
Evelyn Salt ,espy ,demi ,kapeace Demiss ,Mzigua90 Dinazarde ,Madam Mwajuma ,MADAM T ,Heaven Sent ,Nalendwa ,Neybright
yaan hapa aiseee uwiii
hhhhhaaaa itakuwa raha sanaaYaani sipatii picha hiyo crew inakamilika paaap!! Nahisi nitaondoka mbavu zimekatika.
Hahahaaaaa!! Mtani umenichekesha sana aisee, nikiwa dume si basi tunakuwa marafiki tu.Suala la kutamani kukutana na mtu anonymous kwangu hata siliwazii sana.
Yaani likija wazo la kwamba unaweza tamani kuonana na ID ya kike kama huyu espy unakuja kukuta kumbe ni mwanaume kama chige daaah, hapo hamu inakata kabisa[emoji23][emoji23]
Hata mnaotongoza PM mnajitahidi sana asee[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani acha kabisa, sipatii picha kabisa.hhhhhaaaa itakuwa raha sanaa
Wifi nawe si unao wengi!! Kizuri unakula na wenzio.Kaka ako michepuko mingi nimejiweka pembeni
Mi nilikua na wawili tuu wifi..Wifi nawe si unao wengi!! Kizuri unakula na wenzio.
Asante MBITIYAZA . Yani ninavyotamani kuonana na wewe, hata uniambie uko Z"bar nitakuja kwa mguu.
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji3] [emoji3]Aisee faza unatafuta nini huku wakati hawa warembo wakali niko nao nawapa mastory ya hapa na pale wewe nenda saiv hii ndo mida ya wanga wenzio akina mwana malunde