Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

ukweli mie kwa wanawake natamani kukutana na wanwake wale very charming !yaan wana kautukutu fulan hv !sipendag kukaa na mtu mpoleee ambaye haongei !yaan napenda kukutana na mtu ambaye tukiamua kucheka tunacheka haswa na ikiwezekana kufanya kaukorofi fulan mweee mweee !

Evelyn Salt ,espy ,demi ,kapeace Demiss ,Mzigua90 Dinazarde ,Madam Mwajuma ,MADAM T ,Heaven Sent ,Nalendwa ,Neybright
yaan hapa aiseee uwiii
Yaani sipatii picha hiyo crew inakamilika paaap!! Nahisi nitaondoka mbavu zimekatika.
 
Suala la kutamani kukutana na mtu anonymous kwangu hata siliwazii sana.
Yaani likija wazo la kwamba unaweza tamani kuonana na ID ya kike kama huyu espy unakuja kukuta kumbe ni mwanaume kama chige daaah, hapo hamu inakata kabisa[emoji23][emoji23]

Hata mnaotongoza PM mnajitahidi sana asee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaaa!! Mtani umenichekesha sana aisee, nikiwa dume si basi tunakuwa marafiki tu.
 
Aisee faza unatafuta nini huku wakati hawa warembo wakali niko nao nawapa mastory ya hapa na pale wewe nenda saiv hii ndo mida ya wanga wenzio akina mwana malunde
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom