Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Hahaaaa hutak niwe ben ten wako
Weeeeeh shindwa aiseee sipatani navyo kabisa nani anataka tuanze gombania dressing table wote au nikuhonge mahela ushindwe kwa jina la Yesu
 
Aisee faza unatafuta nini huku wakati hawa warembo wakali niko nao nawapa mastory ya hapa na pale wewe nenda saiv hii ndo mida ya wanga wenzio akina mwana malunde
Daaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom