Umefanya vema kutoa mrejeshoKama kuna mtoto wa kiume aliyepo Dar anicheki PM. Ni kazi ya siku 1 tu namtuma Kibaha na Mbagala posho elfu 15. Kwa maelezo njoo PM. Ni kazi inahitajika kufanyika kesho Jumatano. Ahsanteni!
UPDATE: Nimepata mtu tayari miongoni mwa waliokuja PM. Shukrani sana!
Katika lists ya wasomi na mimi?ππ thank you.πππππ nimekupenda bure huna makuu pamoja na usomi wako.
Kiukweli lazima tukabidhiane ni mzigo gani upo ndani humo nisije kubebeshwa bomu bureπ, so nyie wanaume huwa hamchunguzi mnapeleka tu mizigo? Risk takersHamuaminiki nyie, hamchelewi kufunua mzigo uliotumwa, na unaweza kukuta ni kichwa cha mume wako ukaleta tabu kwa mtoa mada
Mmh risk sana! I can't πInabidi ubebe tuu then litakalotokea utajua huko huko
Naona dogo Ridhiwani Kikwete umekuja kivingine siku hizi, makontena hutumi tena unatumia vikapu tu.Kama kuna mtoto wa kiume aliyepo Dar anicheki PM. Ni kazi ya siku 1 tu namtuma Kibaha na Mbagala posho elfu 15. Kwa maelezo njoo PM. Ni kazi inahitajika kufanyika kesho Jumatano. Ahsanteni!
UPDATE: Nimepata mtu tayari miongoni mwa waliokuja PM. Shukrani sana!
Tatizo mnatumia masaa matano kujiremba with a lot of excuse πKwani sisi wadada hatuko sharp mkuu? Why kiume pekeeπ€
IKwani sisi wadada hatuko sharp mkuu? Why kiume pekeeπ€
Mkuu upo serious nije?Kuna kazi tuonane π
I
Mkuu upo serious nije?Kuna kazi tuonane π
I
Huu mwandiko mbona wakiume π€Mkuu upo serious nije?
Wee nna mbususu mimi sina mkuyenge, samahani sanaπ€Huu mwandiko mbona wakiume π€
π€π€π€π€Wee nna mbususu mimi sina mkuyenge, samahani sanaπ€
Vipi mkuuπ€π€π€π€
Kama uliweza kwa ajili ya Iphone 13 utashindwaje hio? π€£π π πMmh risk sana! I can't π
Nyie mpo bize kuongoza nchi kwa sasa.Kwani sisi wadada hatuko sharp mkuu? Why kiume pekee[emoji848]
Hahah[emoji23][emoji23][emoji23] Sharp Financial Services
Hii kazi ya sperms donnor.Tena mimi ni jet inayotembea! Natoka speed vibaya[emoji3][emoji3] nipe dili mkuu
Mkuu unafahamu vitu vifanywavyo ili kupata hizo Iphone 13? Kama ndiyo ulichomaanisha hapo aisee unikome kabisa tena unitue.π€ ntaendelea kutumia hii Tecno yangu.Kama uliweza kwa ajili ya Iphone 13 utashindwaje hio? π€£π π π
Mbona mkali mkuuπππMkuu unafahamu vitu vifanywavyo ili kupata hizo Iphone 13? Kama ndiyo ulichomaanisha hapo aisee unikome kabisa tena unitue.π€ ntaendelea kutumia hii Tecno yangu.
Mkuu achana na mimi ujue! NimemindMbona mkali mkuuπππ
kumbe kweli huwa mnafanya eehπ π