Mtu sharp nimtume kwa siku ya kesho Kibaha stand na Mbagala posho elfu 15

Nipo nakuzoom tu hapa.

Ila upunguze kuandika kwa ile lugha iliyokuja na mashua na akina Vasco Dagama, maana inanifanya uone sipo jamvini. Hahahaa
Nitajitahidi kuitafuta hiyo switchi yake iko wapi niikate kabisa.
 
Pesa kidogo ushaanza kutuona vijana wenzako punda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…