Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Ndugu zetu wa ccm kumbe wanaishi wakiwa hawana ubongo.
Unataka upewe haki yako ya kuchaguliwa,unazuiaje haki ya mpinzani wako?
Hizi akili za kupora uchaguzi ni za ccm tu,na hasa wale wasio na ubongo
 
Nasikia chamwino viti vina washawasha...POMPEO kashika LISPANA la kilo KUMI
 
Acha upoyoyo wewe, Kama waliopiga kura ni wengi kuliko waliojiandikisha ilikuwaje waliopiga kura wakawa nusu ya waliojiandikisha?
Daftari la wapiga kura Lina 29 milion, waliopiga kura milion 15. Acha unyumbu kuleta hesabu za kwenye vijiwe vya saccos iliyopata kipigo Cha shoga mwizi.
 
Samahani naomba kujukishwa, vyama vya upinzani wameshinda viti viwili tuu au Kuna vilivyoongezeka? Vipi kuhusu Pemba ambako miaka mingine cuf ndiyo ulikuwa vinara Hali ikoje?
 
Wewe unashauri kusiwe na uchaguzi wakati mwenyekiti wa saccos anataka turudie uchaguzi? Kwanini hamueleweki?
 
Ni wazi nilifanya maamuzi sahihi kutokwenda kupiga raku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…