Mtu umeoa, lakini bado unakula wake za watu, wako akiliwa, unaanza kulialia!

Mtu umeoa, lakini bado unakula wake za watu, wako akiliwa, unaanza kulialia!

FatherOfAllSnipers

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2019
Posts
1,692
Reaction score
4,442
Wanaume hebu tuache ujinga basi, yaani unajua kabisa una mke, lakini bado unaenda kula wake za watu, Haya sasa, wako akigonoka nje, unaanza kulialia.
Hata kama hauendi kula mke wa mtu, ila jua wewe ndani tayari una mke, huyo unayeenda kumtafuna huko nje, Inawezekana ni demu wa mtu!
Kwahiyo tuache ujinga tafadhali,
Kama unajua kabisa unatia nje wake za watu, Wako ukisikia katiwa,
Tuliza mshono.
 
Wanaume tumeumbwa kutoridhika na mwanamke mmoja vingunevyo
1.huna hela
2.huna nguvu za kiume
wazeewetu hawakua na mwanamke mmoja,hata mfalme suleiman hakua na mmoja.
Wewe unakua na mmoja tatizo nini?
Hata wanawake hawaamini kama kuna men ana she mmoja..
 
Ndiyo maana nasema hivi "Ukisikia mkeo katiwa nje, Tuliza mshono"
Sijasema mwanamume abaki au awe na mwanamke mmoja.
 
Mwanamke m1 ni mama tu wengine wakijependekeza ni kubutua tu kwani ni makubaliano,kumbuka urahisi ulioupata kumpata mkeo ndivyo hivyohivyo na wenzako watampata kirahisi.
Uko sahihi, Mimi hapa sishadadii kwamba eti mwanamume akae na kutulia na mke wake. Ila hapa najaribu kuwaambia baadhi ya wanaume ambao, akisikia mke wake ametiwa nje, anaanza kulialia, ni upumbavu.
 
Back
Top Bottom