Mtu umeoa, lakini bado unakula wake za watu, wako akiliwa, unaanza kulialia!

True mzee baba ila mimi mume wangu siku nikiolewa nitajua kapiga njee.
Woi nampa mlo mtamu basi
Na ndiyo inatakiwa hivyo, wewe ukisikia mpenzi wako katoka nje, msubiri arudi kwako, akifika mpe mambo mazuri!
Mimi nikiwa na mwanamke kunako mchezo, namtia kweli kweli, kwa sababu najua akishatoka pale, siyo wangu tena, maana huko nje anaenda kutiwa pia.
 
Umeona eh
 
Wanaume hebu tuache ujinga basi, yaani unajua kabisa una mke, lakini bado unaenda kula wake za watu, Haya sasa, wako akigonoka nje, unaanza kulialia.
Hata kama hauendi kula mke wa mtu, ila jua wewe ndani tayari una mke, huyo unayeenda kumtafuna huko nje, Inawezekana ni demu wa mtu!
Kwahiyo tuache ujinga tafadhali,
Kama unajua kabisa unatia nje wake za watu, Wako ukisikia katiwa,
Tuliza mshono.
Wewe bado mdogo hujajua haya mambo ukikuwa ntafute nikujulishe sababu. Usiropoke kwa usichokijua
 
Ndiyo maana nasema hivi "Ukisikia mkeo katiwa nje, Tuliza mshono"
Sijasema mwanamume abaki au awe na mwanamke mmoja.
Tatizo sio kuliwa kwa mke wangu ila tatizo ni mimi kujua unatoka na mke wangu tutajuana. Kuhusu mimi kutoka nje ya ndo hio haikuhusu maana hujapewa kuwa mlinzi wa hio ndoa
 
Kama bado unaamini kiumbe anaitwa Mwanadamu dunia ya sasa pole yako.
 
Sio kwa haya mafurushi ya humu ndani, sidhani kama yatakuelewa.[emoji134]
 
Mkuu naona umesha gongewa na WW tafuta ugonge upunguze uwezekano wa kupata presha na ugonjwa wa shambulio la moyo ....
 
Wanawake walioolewa baadhi yao ni wepesi hata kuliko wasio na ndoa,tena hawana woga .kwa kweli inasikitisha sana.Wakati mwingine mpaka nawaza hawa waliingia kwenye ndoa kufanya nini.
Kutoa nuksi
 
Wanaume hebu tuache ujinga basi, yaani unajua kabisa una mke, lakini bado unaenda kula wake za watu, Haya sasa, wako akigonoka nje, unaanza kulialia.
Hata kama hauendi kula mke wa mtu, ila jua wewe ndani tayari una mke, huyo unayeenda kumtafuna huko nje, Inawezekana ni demu wa mtu!
Kwahiyo tuache ujinga tafadhali,
Kama unajua kabisa unatia nje wake za watu, Wako ukisikia katiwa,
Tuliza mshono.
Tulia dawa iingie[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wanaume hebu tuache ujinga basi, yaani unajua kabisa una mke, lakini bado unaenda kula wake za watu, Haya sasa, wako akigonoka nje, unaanza kulialia.
Hata kama hauendi kula mke wa mtu, ila jua wewe ndani tayari una mke, huyo unayeenda kumtafuna huko nje, Inawezekana ni demu wa mtu!
Kwahiyo tuache ujinga tafadhali,
Kama unajua kabisa unatia nje wake za watu, Wako ukisikia katiwa,
Tuliza mshono.
Hahaha
 
Back
Top Bottom