FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
Sihitaji kusaidiwa chochote, ni katika kuwekana sawa.Tukusaidie nini ?
Ndiyo maana nasema hivi "Ukisikia mkeo katiwa nje, Tuliza mshono"Wanaume tumeumbwa kutoridhika na mwanamke mmoja vingunevyo
1.huna hela
2.huna nguvu za kiume
wazeewetu hawakua na mwanamke mmoja,hata mfalme suleiman hakua na mmoja.
Wewe unakua na mmoja tatizo nini?
Hata wanawake hawaamini kama kuna men ana she mmoja..
Tukusaidie nini ?
Na kwanini uamini hivyo?Ukiona hivyo ujue kagongewa huyo.
Aisifiaye mvua imemnyea.Na kwanini uamini hivyo?
Je, haaiwezekani ikawa mimi ndiyo nimemtia mtu?
Halafu huwezi amino ni leo tu nilikuwa nawawaza wa kongwe ukiwemo wewe Dinazade Mamndenyi Laramoko na wengineo naona hautakufa haraka.Ukigongewa tafuta mnyonge umgongee...inapunguza maumivu.
Sihitaji kusaidiwa chochote, ni katika kuwekana sawa.
Ili Upumbavu wa namna hiyo uishe.
Kutendwa na nani? Hapa nawaambia wenye wake zao ila bado wamekomaa na wake za wengine, siku akisikia mke wake kuna jamaa anamsugua, anaanza kulialia, ni upumbavu.Yaelekea ushaatendwa wewe...
Na kwanini uamini hivyo?
Je, haaiwezekani ikawa mimi ndiyo nimemtia mtu?
Well said my dear[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukigongewa tafuta mnyonge umgongee...inapunguza maumivu.
Kuchapiwa siri ya ndani
Uko sahihi, Mimi hapa sishadadii kwamba eti mwanamume akae na kutulia na mke wake. Ila hapa najaribu kuwaambia baadhi ya wanaume ambao, akisikia mke wake ametiwa nje, anaanza kulialia, ni upumbavu.Mwanamke m1 ni mama tu wengine wakijependekeza ni kubutua tu kwani ni makubaliano,kumbuka urahisi ulioupata kumpata mkeo ndivyo hivyohivyo na wenzako watampata kirahisi.