Mtu umeoa, lakini bado unakula wake za watu, wako akiliwa, unaanza kulialia!

Wanawake walioolewa baadhi yao ni wepesi hata kuliko wasio na ndoa,tena hawana woga .kwa kweli inasikitisha sana.Wakati mwingine mpaka nawaza hawa waliingia kwenye ndoa kufanya nini.
Wanawake vilaza kama hao ndiyo inatakiwa umtie mpaka azidi kuwa kilaza.
 
Mkuu ww unatokea Dar?
 
Kuna mdugu yangu mume wake anatembea na mke wa mtu, huyo ndugu yangu amemkanya sana kuhusu huyo mke ila haambiliki, anakaa nae hadi alfajirii, kurud usiku wa manane nyumbani, wanazaidi ya mwaka sasa, huyo mke(mchepuko) anafanya kazi mkoa tofauti na mume wake, basii tabu tupu, cjui wanaume mnashida gani jaman
 
True mzee baba ila mimi mume wangu siku nikiolewa nitajua kapiga njee.
Woi nampa mlo mtamu basi
 
mke wa mtu ni sumu kubwa sana....ila chaajabu vyenye sumu ndio vinavyopendwa....hapo kichwa cha chini kimeizidi akili kichwa cha juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…