FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
- Thread starter
-
- #41
Na ndiyo inatakiwa hivyo, wewe ukisikia mpenzi wako katoka nje, msubiri arudi kwako, akifika mpe mambo mazuri!True mzee baba ila mimi mume wangu siku nikiolewa nitajua kapiga njee.
Woi nampa mlo mtamu basi
Umeona ehNa ndiyo inatakiwa hivyo, wewe ukisikia mpenzi wako katoka nje, msubiri arudi kwako, akifika mpe mambo mazuri!
Mimi nikiwa na mwanamke kunako mchezo, namtia kweli kweli, kwa sababu najua akishatoka pale, siyo wangu tena, maana huko nje anaenda kutiwa pia.
Wewe bado mdogo hujajua haya mambo ukikuwa ntafute nikujulishe sababu. Usiropoke kwa usichokijuaWanaume hebu tuache ujinga basi, yaani unajua kabisa una mke, lakini bado unaenda kula wake za watu, Haya sasa, wako akigonoka nje, unaanza kulialia.
Hata kama hauendi kula mke wa mtu, ila jua wewe ndani tayari una mke, huyo unayeenda kumtafuna huko nje, Inawezekana ni demu wa mtu!
Kwahiyo tuache ujinga tafadhali,
Kama unajua kabisa unatia nje wake za watu, Wako ukisikia katiwa,
Tuliza mshono.
Tatizo sio kuliwa kwa mke wangu ila tatizo ni mimi kujua unatoka na mke wangu tutajuana. Kuhusu mimi kutoka nje ya ndo hio haikuhusu maana hujapewa kuwa mlinzi wa hio ndoaNdiyo maana nasema hivi "Ukisikia mkeo katiwa nje, Tuliza mshono"
Sijasema mwanamume abaki au awe na mwanamke mmoja.
Tatizo wewe ni Mmang'ati.Wewe bado mdogo hujajua haya mambo ukikuwa ntafute nikujulishe sababu. Usiropoke kwa usichokijua
Mng'ati sio mtanzania?Tatizo wewe ni Mmang'ati.
Unatakaje kwani kijanaMng'ati sio mtanzania?
Kutoa nuksiWanawake walioolewa baadhi yao ni wepesi hata kuliko wasio na ndoa,tena hawana woga .kwa kweli inasikitisha sana.Wakati mwingine mpaka nawaza hawa waliingia kwenye ndoa kufanya nini.
Sijagongewa mkuu, Ni katika kuwekana sawa.Mkuu naona umesha gongewa na WW tafuta ugonge upunguze uwezekano wa kupata presha na ugonjwa wa shambulio la moyo ....
Tulia dawa iingie[emoji16][emoji16][emoji16]Wanaume hebu tuache ujinga basi, yaani unajua kabisa una mke, lakini bado unaenda kula wake za watu, Haya sasa, wako akigonoka nje, unaanza kulialia.
Hata kama hauendi kula mke wa mtu, ila jua wewe ndani tayari una mke, huyo unayeenda kumtafuna huko nje, Inawezekana ni demu wa mtu!
Kwahiyo tuache ujinga tafadhali,
Kama unajua kabisa unatia nje wake za watu, Wako ukisikia katiwa,
Tuliza mshono.
HahahaWanaume hebu tuache ujinga basi, yaani unajua kabisa una mke, lakini bado unaenda kula wake za watu, Haya sasa, wako akigonoka nje, unaanza kulialia.
Hata kama hauendi kula mke wa mtu, ila jua wewe ndani tayari una mke, huyo unayeenda kumtafuna huko nje, Inawezekana ni demu wa mtu!
Kwahiyo tuache ujinga tafadhali,
Kama unajua kabisa unatia nje wake za watu, Wako ukisikia katiwa,
Tuliza mshono.
Mwanamke m1 ni mama tu wengine wakijependekeza ni kubutua tu kwani ni makubaliano,kumbuka urahisi ulioupata kumpata mkeo ndivyo hivyohivyo na wenzako watampata kirahisi.
Hahahapole kwa kuchapiwa arifu....
Uko sahihi, Mimi hapa sishadadii kwamba eti mwanamume akae na kutulia na mke wake. Ila hapa najaribu kuwaambia baadhi ya wanaume ambao, akisikia mke wake ametiwa nje, anaanza kulialia, ni upumbavu.