Mtu una miaka 32 bado unaishi kwa baba yako halafu upo mitandaoni kumkandia Ronaldo mwenye miaka 41 kwanini hafungi mabao kama Messi

Mtu una miaka 32 bado unaishi kwa baba yako halafu upo mitandaoni kumkandia Ronaldo mwenye miaka 41 kwanini hafungi mabao kama Messi

Top Gun

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
257
Reaction score
860
"Ronaldo kwishaaaaaa...."

Screenshot_20260629_111654_Google.jpg
 
Haihusiani .... niondoke kwa baba yangu niende wapi labda ?

Amenizaa anilishe na kunivisha !
 

Unaumia Mtu Kukaa Kwa Baba Yake...??Kwani Ulitaka Akakae Kwa Baba Yake Ya Nani..??Au Unaumia Kusemwa Kwa Ronaldo Kutofunga Na Mtu Mwenye Miaka 32 Alafu Anakaa Kwa Baba Yake..??Au Ronaldo Anatakiwa Kusemwa Na Mtu Mwenye Umri Wa Miaka 32 Ila Tu..!!Asiwe Anakaa Kwa Baba Yake...??
###BabaYake###
​
 
Tunasubiri huyo Ronaldo achukue kombe la Dunia kama Messi ndio tuhame kwa mshua.
 
Sioni ubaya lakini kwa mtu wa miaka 32 kuishi kwa Baba yake,Yesu ana zaidi ya miaka 2000 na anaishi kwa Baba yake
 
Back
Top Bottom