Uchaguzi 2020 Mtu unajijua kabisa wewe ni Msimamizi wa Uchaguzi halafu unaomba kugombea ubunge, Hii si sawa!

Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.

Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.

Niishie hapo!
 
Kwani kama mkurugenzi aliondoka kuwania akirudi, atarudi kwa nafasi hiyo hiyo ya ukurugenzi?
 
Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.

Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.

Niishie hapo!
Hili angalizo lilianza kufanyiwa kazi na JPM. Naamini halitaishia hapo.
 
Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.

Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.

Niishie hapo!
Huko ugambani hali ni ngumu.
 
Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.

Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.

Niishie hapo!
Ccm ni kama nguruwe. Hawana soni
 
Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.

Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.

Niishie hapo!
Usisahau pia wakuu wa mikoa na wilaya kwa sababu ni 'wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama" katika maeneo yao!
 
Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.

Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.

Niishie hapo!

Kwanza hao ni kuwatoa mavi tu
 
CCM wanajua kuwa hawakubaliki ivyo wanajua kitakachojiri wakifuata sheria, lkn ngoja mapingamizi mahakaman ndi yatawatia adabu
 
Back
Top Bottom