johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni vema kuzingatia utawala wa sheria!Ukiwa CCM unakuwa sehemu ya uhakika sheria zote hazikuhusu
Hili angalizo lilianza kufanyiwa kazi na JPM. Naamini halitaishia hapo.Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.
Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.
Niishie hapo!
Huko ugambani hali ni ngumu.Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.
Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.
Niishie hapo!
Ccm ni kama nguruwe. Hawana soniNawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.
Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.
Niishie hapo!
Usisahau pia wakuu wa mikoa na wilaya kwa sababu ni 'wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama" katika maeneo yao!Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.
Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.
Niishie hapo!
Ni vema kuzingatia utawala wa sheria!Ukiwa CCM unakuwa sehemu ya uhakika sheria zote hazikuhusu
Utawala wa sheria utarudi pindi Magu akirudi chatoNi vema kuzingatia utawala wa sheria!
Kiongozi wako anazingatia?Ni vema kuzingatia utawala wa sheria!
Mtasubiri sana bwashee!Utawala wa sheria utarudi pindi Magu akirudi chato
Unataka kusemaje kwani hapo mkuu? malizia tuMtasubiri sana bwashee!
Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.
Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.
Niishie hapo!
Tangu lini mkawa ma advocate wa utawala wa sheria. HypocritesNi vema kuzingatia utawala wa sheria!
Hiyo iitwayo sheria imfuate huko huko chato.Utawala wa sheria utarudi pindi Magu akirudi chato