Mtu unatakiwa uwe na chupi ngapi?

Mtu unatakiwa uwe na chupi ngapi?

Dozen ni elfu nane chupi nzuri Tu.
Kuna disposable pia.dozen 3500
Siku hizi watu wengi wanavaa disposable
Kwa budget ya elfu 20 unapata chupi za kuvaa mwezi mzima tena rangi tofauti tofauti.ukivua unatupa hukoo.
 
Back
Top Bottom