Mtu unatakiwa uwe na chupi ngapi?

Mtu unatakiwa uwe na chupi ngapi?

Ku maitain usafi ni chupi MBILI tu, moja uliyovaa na nyingime uliyofua jioni wakati unaoga.

Chupi zikiwa nyingi matokeo yake unaanza kuziweka kwemye tenga la nguo chafu - hence uchafu.
 
Chupi 8? What for? Labda kama ni mwanamke! Sisi wanaume boksa 2 tu zinatosha! Mpaka ikichanika ndio unaongeza nyingine
 
Back
Top Bottom