Mtu wa kunibeba Mabibo Hostel

ahsante kwa ushauri mzuri mungu akubariki, ngoja nichanganye na akili zangu. nashukuru kwa kunipa darasa la bure.

Ukikiona kile kitanda unaweza kuja kufuta comments zako hapa...halafu ukute huyo anayeomba kubebwa ni boooonge la bwanaaa....utajuta
 
hahahaahahaaa navijuaga kaka vitanda vya chuoni.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…