ww umeomba wadau wa mwaka wa kwanza (UDSM)
kwanini usibandike Tangazo hilo hapo Mabibo?
Mimi nataka kukubeba kila usiku nitakupataje
ukwaju ukwaju
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww umeomba wadau wa mwaka wa kwanza (UDSM)
kwanini usibandike Tangazo hilo hapo Mabibo?
Mimi nataka kukubeba kila usiku nitakupataje
ha ha ha wataka kubebwa...
Mambo?
ahsante kwa ushauri mzuri mungu akubariki, ngoja nichanganye na akili zangu. nashukuru kwa kunipa darasa la bure.
ni pouwa....kumbe hadi mtaa huu unafika
Hua napita mara moja moja. Kumbe na wewe pia unakuepo
mtafute miss chagga
kama atalipa double na commision yangu sawa nitambeba
hujaelewa[/QUOTE
kweli sijakuelewa
yaani UDSM mna vituko mtajabebana pasipobebwa
haya mambo ni kuwaonea 1st year
kwani wanetu tunawalipia kila kitu kumbe kuna miPUNGA inaomba kubebwa
kweli mwanangu hajanihadithia habari hii kwani sisi enzi zetu unalala kwenye kitanda chini au juu Double-decker
hii habari ya kuanza kumfadhili mwanammme malazi Duuuuh