Mtu wa Kwanza kukataa Madaraka akikataa kukubaliana na Uovu wa Wenzie Serikalini

Hua najiuliza kwamba, iwapo angekataa uteuzi....
Nini kingemkuta??
Je angekua bado yupo hai??
 
wanasemaga hivyo kesho anapewa kwa lazima unazani hata kataa
 
Huyo Hajakataa Ila Lile Genge La Kijani Limemkataa
 
Moyo umebeba mazito sana!hawezi kataa uteuzi hivi hivi!!

Kipindi Cha chuma si alikua waziri wa fedha kwani alikemea Teka Teka ya kina Ben sanaane!?mbona hakujiuzulu uwaziri!!?

Huyo anajua kwanini amejiuzulu!hajakurupuka,ni kijana wa kanisani huyo Tena mseminary anajua fika yatakayojiri huko mbeleni na atakua ameambiwa aachie kiti hicho!!
 
Hili dongo na salam zimfikie moja kwa moja Wasira anayepanda jukwaani kutukanana na vitukuu.
 
Amesoma alama za nyakati akafanya hesabu na tathmini akaona ni bora na afya kwake kupumzika kuliko kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…