Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mpango aliona haendani kabisa na Ukatili unaofanywa kwa watanganyika wenzie. Ameamua kujiweka pembeni kuepusha msongamano.
Àngepatwa na yaliyomkuta Ali KibaoHua najiuliza kwamba, iwapo angekataa uteuzi....
Nini kingemkuta??
Je angekua bado yupo hai??
Babu jinga Steven Wassira haoni hata wivu?Japo huyu mzee naye ni muovu lakini ana nafuu ukilinganisha na magaidi mengine yapo CCM
Amezoea kuibaBabu jinga Steven Wassira haoni hata wivu?
Hivi yuko wapi huyo mzee?Amezoea kuiba
Warioba vile vile alikataa kuendelea miaka mitano mwengine ya Ali Hassan mwinyiMpango aliona haendani kabisa na Ukatili unaofanywa kwa watanganyika wenzie. Ameamua kujiweka pembeni kuepusha msongamano.
View attachment 3338938
Gari Ni Engine Siyo BodyHivi yuko wapi huyo mzee?
Kwa waganga anaweka mambo sawaHivi yuko wapi huyo mzee?
Hivi alikataa kwa hiyari yake au aliamrishwa?Mpango aliona haendani kabisa na Ukatili unaofanywa kwa watanganyika wenzie. Ameamua kujiweka pembeni kuepusha msongamano.
View attachment 3338938
ImeamuliwaHivi alikataa kwa hiyari yake au aliamrishwa?
Oh,ok🙏Imeamuliwa