Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Huyu Edelyn inaonekana bwana wake wa kwanza alimtesa sana kama sio hivyo basi alishuhudia mambo ya ajabu kutoka kwenye familia yao aidha mama yake or dada yake aliyopitia.
Yaani inaonekana ameshaharibika kutokana na manyanyaso na maonevu. Hata psychologically anaonekana hayupo sawa kabisaaa. Yaani ana dady issues zile nzito nzito. Nakuonea huruma sana. Pole.
 
I smell iota of truth here
 
Brother sometimes tunanogesha genge tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Usichukulie serious kila kitu.
 
Ndiyo lazima kuna majukumu yake mengine niyabague kama ambavyo yeye kuna mengine hayawezi kama kubeba mimba, kuzaa na kunyonyesha.
 
Yaani Edelyn bwana kwa hiyo wewe unaona kuliko kumuacha mume mnyanyasaji uliyejaribu kumrekebisha lakini harekibishiki ni heri uendelee kuvumilia tu manyanyaso yake huku ukimuombea dua mbaya hili upate haueni kupitia matatizo yake si ndio?
Kama namrekebisha na harekebishiki nitamuacha mapema siwezi tu kumsubiri hadi hadi apate majanga
 
Sawa sijakataa kwamba hata sisi wanawake siyo malaika sasa mbona na kwenye kuchagua au kutafuta wake wa kuoa huwa mnaassume kwamba sisi ni malaika hivyo hatutakiwi kuwa na mapungufu?
 
Kabisa hakuna mwanamke wa kukutia moyo tz.sanasana atakukimbia kutafta wenzako walio fanikiwa.
Na kwa upande wenu wanaume kuna ambaye au ambao hawachepuki? Kama yupo au wapo basi hao ndo wanastahili kutiwa moyo
 
Umerudia kile kile nilichokwisha kukujibu.
Majibu yako yako hapo dadangu, rudia tena kusoma hapo vizuri.
 
Hongereni sana kwa kuwa perfect
Na ndo sasa kwa sababu tunaongozwa na kichwa hatujiongozi wenyewe basi ndo mjue kwamba mambo yakienda kombo kiwiliwili hakihusiki tena bali ni kichwa maana kiwiliwili kilikuwa kinafuata kichwa tu sasa kinaingizwaje kwenye lawama tena?
 
Masikini umejaribu kutaka kuotea maisha yangu yaliyopita na ya sasa lakini naona kama umeyumba hivi endelea kuotea labda ipo siku utapatia mimi ni mtu wa aina gani nakutakia kila la kheri katika uchunguzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…