Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

Mie unambia usijali hicho ni kitu rahisi sana muda ukifika utapata,namshukuru sana.
 
Am serious. Kwa hiyo unaoa mke akutafutie chakula, akupikie, akutengee ule ulale. Kesho hivyo hivyo
Hayo umeyasema wewe mkuu.
Kwakifupi hapa naona watu mnajadili ndoa kama simulizi za hadithi njoo.
Na hii ndio moja ya sababu ilio nifanya nishukuru Mungu baada ya kusoma comments zilizo tangulia.
Kwaleo naomba niishie hapa mkuu, sipendi na sijisikii furaha sana kuendlea kujadili lolote kuhusu hii mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…