Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sawa boss[emoji5][emoji5]I'm joking
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa boss[emoji5][emoji5]I'm joking
huku bongo ukikwama janamke linakwambia umeshidwa kusimamia nafasi yako. Yaani hakuna cha faraja wala kutiana moyo..!! pumbafuuu sana
Hawa watu hawa sijui huwa wanawaza kwa kutumia Akili za wapi.Tatizo wanaume hamuangaliagi mambo mnayowafanyia wake zenu kipindi mna pesa ila kipindi hamna pesa ndo mnaanza kuangalia mambo wanayowafanyia wake zenu hakuna mwanamke ambaye ulikuwa unamsaidia na haumsaliti halafu yeye akaja kukuvunja moyo ukija kupata shida labda awe na roho mbaya tu ila kama wakati una pesa ulikuwa haumsaidii na unamsaliti kwanini na wewe utake akutie moyo kipindi ukiwa hauna pesa?
Kwa hiyo kumbe mwanaume anayekunyanyasa kipindi akiwa na hela, siku akiporomoka kiuchumi hakuna sababu ya kumsaidia kivyovyote vile bali huo ndio muda wako na wewe wa kumpanda kichwani..? halafu siku akirudi kwenye hali nzuri ya awali na wewe unarudi kwenye unyenyekevu na uvumilivu kama mwanzo tu sio?Tatizo wanaume hamuangaliagi mambo mnayowafanyia wake zenu kipindi mna pesa ila kipindi hamna pesa ndo mnaanza kuangalia mambo wanayowafanyia wake zenu hakuna mwanamke ambaye ulikuwa unamsaidia na haumsaliti halafu yeye akaja kukuvunja moyo ukija kupata shida labda awe na roho mbaya tu ila kama wakati una pesa ulikuwa haumsaidii na unamsaliti kwanini na wewe utake akutie moyo kipindi ukiwa hauna pesa?
Kama vile mnavotuweka kwenye mkumbo mmoja na sie
Kwanza uelewe wengine humu hatufungamani na upande wowote na hua tunachangia vile kutokana na mada husika na si kila mada utachangia uonekane umechangia
Pili elewa kua binadamu hatufanani kama vidole usikandamize wala kulazimisha kutuweka kwenye mzani sawa ili tu kile ulichojiwekea akili kiwe ndicho badili mfumo wa fikra akilini mwako tupo wanawake tuna ndoa zetutunajielewa na wapo wasokua na ndoa zao na wanajielewa vile vile
Samahani sana na nikuambie tu mimi mume wangu naamini ndio mtu ambae anaweza tukashare mambo bila kificho sitaki kujua ananificha au la lakini ile tu mke wangu kuna kadha wa kadha nisaidie ushauri au unashauri vipi kwangu me naona nimethaminika na natoa ushauri wangu kama inavyopaswa
Halaf si kua mtaishi kwenye ndoa au mahusiano kila siku mtapata fedha, au kila siku mahela yanaingia kuna leo na kesho maisha ni kupanda na kushuka, akikosa bas sitaacha kumfariji sababu najua anatafta japo na mie natafta tusaidiane lakini naelewa ye kama baba ndio kichwa cha nyumba nikianza kumkatisha tamaa tutaishi vipi?? Lazima nimpe moyo kwanza nilivyo sipendi kumuona ana sononeka et kisa mambo hayaendi sawa wakat mimi ndio mkewe naweza mpa moyo nikamfariji hivo elewa tu kama wema upo na ubaya upo bas wanawake wenye sifa nzuri wapo vile vile
hahahaha.. halafu nimekusahau wewe! wewe bwana ni super sub moja matata sana kama Origi wa liverpool.Hahaha nimefurahi wewe mwenyewe umekiri kuwa anawavuruga balaa
Heaven sent mama wa magazeti.. unasomaa hadi simu inaishiwa chajiHa ha ha hio list ya #TeamPasuaKichwa balaa! Kocha mchezaji Heaven Sent
Huyo mama nae alikuwaga mbishii hatari halafu mgomvi balaha.. mada zake nyingi zilikuwaga haziishi bila ugomvi na watu kula ban. Sijui alifia wapi.
"Tatizo umezubaa sana, kuwa kama James huoni mwenzio atafika mbali sana yule"Hahaha haaaa haa. .akikuchoka zaidi anakuambia yule John ndiye mwanaume mwenye akili sasa ''
😂😂😂😂😂😂😂 kmmmae yani balaa sana. Wanawake wa kibongo wameumbwa kuhudumiwa tu. Wakikosa huduma ni vita kali ya taarabu!huku bongo ukikwama janamke linakwambia umeshidwa kusimamia nafasi yako. Yaani hakuna cha faraja wala kutiana moyo..!! pumbafuuu sana
😂😂😂😂😂😅😅😅😅 maneno ya shombo hayo,,,Hapo unakuta juzi tu kachukua elfu 50 ya kusuka wako."Hivi wewe mwenzetu hela zako huwa unazipelekaga wapi, mbona sioni la maana linalosimama humu ndani 🙄😳"
Madame S wa tofauti sana, nilishakuona toka kitambo uko njema sana.Kama vile mnavotuweka kwenye mkumbo mmoja na sie
Kwanza uelewe wengine humu hatufungamani na upande wowote na hua tunachangia vile kutokana na mada husika na si kila mada utachangia uonekane umechangia
Pili elewa kua binadamu hatufanani kama vidole usikandamize wala kulazimisha kutuweka kwenye mzani sawa ili tu kile ulichojiwekea akili kiwe ndicho badili mfumo wa fikra akilini mwako tupo wanawake tuna ndoa zetutunajielewa na wapo wasokua na ndoa zao na wanajielewa vile vile
Samahani sana na nikuambie tu mimi mume wangu naamini ndio mtu ambae anaweza tukashare mambo bila kificho sitaki kujua ananificha au la lakini ile tu mke wangu kuna kadha wa kadha nisaidie ushauri au unashauri vipi kwangu me naona nimethaminika na natoa ushauri wangu kama inavyopaswa
Halaf si kua mtaishi kwenye ndoa au mahusiano kila siku mtapata fedha, au kila siku mahela yanaingia kuna leo na kesho maisha ni kupanda na kushuka, akikosa bas sitaacha kumfariji sababu najua anatafta japo na mie natafta tusaidiane lakini naelewa ye kama baba ndio kichwa cha nyumba nikianza kumkatisha tamaa tutaishi vipi?? Lazima nimpe moyo kwanza nilivyo sipendi kumuona ana sononeka et kisa mambo hayaendi sawa wakat mimi ndio mkewe naweza mpa moyo nikamfariji hivo elewa tu kama wema upo na ubaya upo bas wanawake wenye sifa nzuri wapo vile vile
Saa kama huwezi kuhudumia mke kwa nini uoe?
"Tatizo umezubaa sana, kuwa kama James huoni mwenzio atafika mbali sana yule"
Hizo ndio shida na raha ambazo tunatakiwa kuvumiliana.Kama wakati unamuoa ulikua unauwezo wa kumuudumia.....baada yamuda maisha yakipato yakabadilika apo unasemaje!