Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

huku bongo ukikwama janamke linakwambia umeshidwa kusimamia nafasi yako. Yaani hakuna cha faraja wala kutiana moyo..!! pumbafuuu sana

Tatizo wanaume hamuangaliagi mambo mnayowafanyia wake zenu kipindi mna pesa ila kipindi hamna pesa ndo mnaanza kuangalia mambo wanayowafanyia wake zenu hakuna mwanamke ambaye ulikuwa unamsaidia na haumsaliti halafu yeye akaja kukuvunja moyo ukija kupata shida labda awe na roho mbaya tu ila kama wakati una pesa ulikuwa haumsaidii na unamsaliti kwanini na wewe utake akutie moyo kipindi ukiwa hauna pesa?
 
Mkuki kwa nguruwe....... Hawa watu hawa sijui huwa wanawaza kwa kutumia Akili za wapi.
Wanamuona mwanamke km zuzu hivi, Nani akakutie moyo km wewe mwenyewe hukuwa na muda nae
 
Kwa hiyo kumbe mwanaume anayekunyanyasa kipindi akiwa na hela, siku akiporomoka kiuchumi hakuna sababu ya kumsaidia kivyovyote vile bali huo ndio muda wako na wewe wa kumpanda kichwani..? halafu siku akirudi kwenye hali nzuri ya awali na wewe unarudi kwenye unyenyekevu na uvumilivu kama mwanzo tu sio?
 
bila shaka umelelewa kwenye malezi mazuri ya kiislamu na walezi wako waliishi kama mfano wa kuigwa na wewe. Niombe radhi kwa kuku group pamoja na wenzako wengi humu ambao wanafanana kimtazamo kutokana na comments zao ninazozionaga mara kwa mara humu inapokuja mada kama hii.

Kama kweli unafanya haya uliyoyaandika hapa katika maisha halisi basi big up sana kwa huyo kidume uliyenaye, ameokota dodo chini ya mkaratusi.

Maisha hayako uniform hata kidogo lazima kuna kukwama mahali, sasa kwenye kukwama ndio tunaona maana ya vile viapo vya siku ya ndoa. Bahati mbaya sana wenzako wengi ukicheki mitazamo yao unagundua kuwa hivi viapo hawawezi kuviishi. Ila kwako wewe unaonekana unajua maana halisi ya companionship kwa mujibu ya maelezo yako.

Endelea hivyo hivyo kutofungamana na upande wowote usiokuwa sahihi nimekupenda ghafla.
 
huku bongo ukikwama janamke linakwambia umeshidwa kusimamia nafasi yako. Yaani hakuna cha faraja wala kutiana moyo..!! pumbafuuu sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kmmmae yani balaa sana. Wanawake wa kibongo wameumbwa kuhudumiwa tu. Wakikosa huduma ni vita kali ya taarabu!
 
"Hivi wewe mwenzetu hela zako huwa unazipelekaga wapi, mbona sioni la maana linalosimama humu ndani πŸ™„πŸ˜³"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… maneno ya shombo hayo,,,Hapo unakuta juzi tu kachukua elfu 50 ya kusuka wako.
 
Madame S wa tofauti sana, nilishakuona toka kitambo uko njema sana.
 
Kama wakati unamuoa ulikua unauwezo wa kumuudumia.....baada yamuda maisha yakipato yakabadilika apo unasemaje!
Hizo ndio shida na raha ambazo tunatakiwa kuvumiliana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…