Ni kama ambavyo ninyi mna imani mbaya sana juu ya mwanaume kumsaidia mkewe kufanya kazi za nyumbani yaani mimi nawaambia hapa mtalalamika hadi Yesu arudi lakini chanzo cha haya yote ni mgawanyo wa majukumu tu hakuna kinginewana vikauli vyao wanakwambia "umeshindwa kuwa mwanaume, mwanaume hashindwi kuhudumia hata iwe vipi" na hapo haijalishi hata kama huko nyuma uliwahi kumnunulia Rolls Royce kabla mambo hayajaenda mlama.
Wanawake wa kibongo wana self-entitlement mentality mbaya sana.
Kwani nyumba ndogo ndo hazina matatizo?MLEVi Mmoja alikuwa sahihi kusema tuwe tunamiliki hawa viumbe zaidi ya mmoja ili wakianza masimango unaenda pumzika kwa nyumba ndogo
Na wewe usiwe msaliti wala mnyanyasaji kwa sababu yoyote ileDah, kama ni mke kweli jamaa yetu amepata aisee. Nasaha kama hizi huwezi kuzikuta kwa Slay Queen. Hongera sana kwa kutambua nini maana ya maisha...hii ni kwa mara ingine tena. Usije ukabadilika tu ukawa kama hawa wahuni wa mjini.
Mke kusaidia sio lazima ila ni swala la hekima tu.Sasa mbona wake zenu wasipowasaidia kiuchumi mnalalamika mnasema wanapenda kuhudumiwa wao tu? Si ndo tamaduni zetu zinavyotaka hivyo?
Sasa mke kama Madam S unaanzaje kumsaliti aisee, mtoto anajua nini kitu mapenzi namna hio. Hapo mida ya jiji letu tu nipo mjengoni yani nacheza na mdoli wangu.Na wewe usiwe msaliti wala mnyanyasaji kwa sababu yoyote ile
Hatari sana aisee[emoji3][emoji3]fulani kaolewa wewe upo tu ... unaweza kuhama dunia
Sasa mke kama Madam S unaanzaje kumsaliti aisee, mtoto anajua nini kitu mapenzi namna hio. Hapo mida ya jiji letu tu nipo mjengoni yani nacheza na mdoli wangu.
Wanaonewa wakifanya wrong choices, ila wakipata watu wanaothamini penzi maisha huwa murua sanaHakuna wanawake wanaonewa kama hawa wema yaani wanaume wanajua kutake advantage aisee
Hata Stan Lee (RIP) anasema wakati anapeleka Comic yake ya spiderman alitimuliwa tana akiambiwa kua Watu wengi hawapendi buibui so haitauzika.Hivi mbona historia za waandishi wote wenye mafanikio zinaanzia kwenye kukataliwa na wachapishaji?
Maana Kiyosaki naye anadai RICH DAD POOR DAD ilikataliwa.
Ni coincidence tu au kamba?
Sio kweli.Kwa hapa Tz ' Wanawake wenye Tabia njema Hiyo. ..tayari walisha kufa Katika Vita ya Kagera
Uzuri nilishascreen shot comment yako; so uzito upo pale pale (kidding). Me nimemzoea a sweet lizarazu; all of a sudden namuona kawa bitter. Tusamehe kama tumekukosea
Ni kama ambavyo ninyi mna imani mbaya sana juu ya mwanaume kumsaidia mkewe kufanya kazi za nyumbani yaani mimi nawaambia hapa mtalalamika hadi Yesu arudi lakini chanzo cha haya yote ni mgawanyo wa majukumu tu hakuna kingine
Sasa ndo kwanini mkipata matatizo msiende kwa hiyo hiyo michepuko yenu mliyokuwa mnaihonga kuliko wake zenu wakati hamna matatizo?
Dah, kama ni mke kweli jamaa yetu amepata aisee. Nasaha kama hizi huwezi kuzikuta kwa Slay Queen. Hongera sana kwa kutambua nini maana ya maisha...hii ni kwa mara ingine tena. Usije ukabadilika tu ukawa kama hawa wahuni wa mjini.
Hata kwetu sisi wanawake hauwezi fananisha pesa na mambo ya ajabu"Liangalie lina kazi ya kulewa tu na pombe haitokufikisha Mahala popote " nikaamua nimpige chini niendelee na mpenzi wangu muaminifu bia and guess what npo extra miles kuliko alivyoniacha
Huwezi fananisha pombe na mambo ya ajabu
Oh, Sasa hili litakuwa nje ya mada kidogo mana hapa tunaongelea tabia ya kukomoana na kuto kutiana moyo kipindi cha hali ngumu ya maisha.Sasa bora wewe unajua kuwa kwenye ndoa wote mwanaume na mwanamke wanapaswa kusameheana na kuvumiliana mimi nawazungumzia wale wanaume ambao wanataka wao wakifanya makosa wake zao wawasamehe na wawavumilie
Ila wake zao wakifanya makosa wao hawataki kuwasamehe wala kuwavumilia yaani ni lazima watafute adhabu yoyote ile ya kuwapa wake zao kati ya kuwapiga, kuwasaliti, kuwaongezea wake au kuwapa talaka kabisa na aina hiyo ya wanaume ni wengi na wanadai kuwa huo ndiyo uanaume je hiyo ni sahihi?
Hapana, nadhani Mungu huwa anabalance. Mwanaume akiwa mpole mke anakuwa machachari na mwanamke akiwa mpole mume anakuwa moto. Sijazungumzia uma.laya naongelea umachachari wa kawaidaWanaonewa wakifanya wrong choices, ila wakipata watu wanaothamini penzi maisha huwa murua sana
Sasa kama siyo lazima kwanini wale ambao hawasaidii mnawaona hawafai? Kwahiyo hata ninyi kusaidia kufanya kazi za ndani siyo lazima ila ni swala la hekima tu na wasiosaidia hawana hekima si ndiyo?Mke kusaidia sio lazima ila ni swala la hekima tu.