Mtu yule ni Simba na jana kajitokeza kweupe. Ni kama Nabii Eliya yaani

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam,

Wakati mgambo wakikesha kumtafuta,

Simba yule bila woga, Jana aneungana na waombaji na maombi yakaendelea kama kawaida mchana kweupee!

Ni kama tu nabii Elia, aliweza kutokea bila woga mbele ya Mfalme Ahabu Kisha akapotea asionekane popote.

NB: Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope!

Wote tukiri kuwa "SITAKUFA,BALI NITAISHI, ILI NIUONE WEMA WA BWANA KATIKA NCHI YA WALIO HAI.

Mungu Yuko kazini.

Aamin!
 
Ilisikika sauti ya Kinabii, NILETEENI GWAJIMAAA×4
 
Bila video hainogi
 
msichanganye huduma ya maombezi na siasa mnakosea utaratibu
 
Salaam,

Wakati mgambo wakikesha kumtafuta,

Simba yule bila woga, Jana aneungana na waombaji na maombi yakaendelea kama kawaida mchana kweupee!

Ni kama tu nabii Elia, aliweza kutokea bila woga mbele ya Mfalme Ahabu Kisha akapotea asionekane popote.

NB: Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope!

Wote tukiri kuwa "SITAKUFA,BALI NITAISHI, ILI NIUONE WEMA WA BWANA KATIKA NCHI YA WALIO HAI.

Mungu Yuko kazini.

Aamin!
Watanzania mnakuza maneno sana. Hakuna wakati wowote gwajima alitafutwa kukamatwa hakuna, wala kuitwa aripoti polisi hakuna. Kama imeilewa ile barua ya msajiri amefungia kanisa la gwajima, kama lipo, lakini hajamzuia gwajima kusali popote.
Gwajima ni mtu huru, anaweza kusali popote
 
Nimeona leo video jasusi wa mbingun akiwa nje la kanisa lake akifanya maombi na washairika wenzake
Mimi nimeona video ya mahubiri ya Askofu wa jimbo katoliki Musoma jana siku ya Pentekoste, ina maneno makali kwa serikali kuliko yale ya Gwajima.

Serikali yafungieni basi makanisa yote katoliki jimbo la Musoma, maana najua hamuwezi kuyafunga makanisa yao nchi nzima.
 
Back
Top Bottom