Ulimsikiliza mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya ya ubungo ndugu Msando, wakili msomi?Watanzania mnakuza maneno sana. Hakuna wakati wowote gwajima alitafutwa kukamatwa hakuna, wala kuitwa aripoti polisi hakuna. Kama imeilewa ile barua ya msajiri amefungia kanisa la gwajima, kama lipo, lakini hajamzuia gwajima kusali popote.
Gwajima ni mtu huru, anaweza kusali popote