Mtu yule ni Simba na jana kajitokeza kweupe. Ni kama Nabii Eliya yaani

Ulimsikiliza mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya ya ubungo ndugu Msando, wakili msomi?
 
Uongo, Gwajiboy katafutwa sana mpaka wakaishia kukamata waumini wake. Wameachia kwa bail out waumini wote isipokuwa wawili wanaoamini wao ndiyo wanaweza kuwa njia ya Gwajiboy kupatikana, usituletee hadithi za 'sizitaki mbichi hizi'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…