Mtuhumiwa mauaji ya mke amtumia sms mama mkwe

Mtu hakutaki unamuacha tu hakuna mambo ya kuvujisha damu haisaidii,hukuzaliwa nae kilichowaunganisha ni ndoa tu kama sakramenti ,kama amekushindwa utaratibu mwingine ufuatwe,muache ingawa inauma ila epusha akili ya kuua maana wote hupoteza
 
umenena vyema sana.
 
Ili uishi na mwanamke inahitaji akili iliyotulia sana,vinginevyo jiandaye kwa lolote lile...
 
Mbona kama haiingii akilini, mtu amuue mkeo/mpenzio halafu akupe nauli ukimbie kwa ahadi ya yeye kulimaliza hilo tukio. kuna mengi nyuma ya hili tukio la mauaji huu ni mwanzo tu.
Jamaa kachanganyikiwa tayari 😅😅😅
 

Mkuu sasa umeshagongewa unataka upewe haki gani tena? Mkeo amegongwa kwa ridhaa yake wewe unataka umlipe kisasi nani? mke kachepuka wewe piga chini maisha yaendelee kuanza kutilisha huruma kwa mwanmme ni kujizidishia aibu. Tatizo kubwa linaanzia pale ndani ya nafsi zetu na mind sate zetu tumekua na roho za kikatili sana ambazo hua zinatafuta sababu ya kufanya huo ukatili. Hujiulizi kwanini mambo kama hayo hutokea sana Africa na nchi nyengine za kishenzi kuliko nchi zilizokwisha staarabika? Watu weusi tuna khulka za kishenzi sana na ndio zinazotutesa.
 
Mtu hakutaki unamuacha tu hakuna mambo ya kuvujisha damu haisaidii,hukuzaliwa nae kilichowaunganisha ni ndoa tu kama sakramenti ,kama amekushindwa utaratibu mwingine ufuatwe,muache ingawa inauma ila epusha akili ya kuua maana wote hupoteza
Hata Wizi Kuna MTU ukamchomolea waleti yake anakaa kimya hapigi Hata kelele ya mwizi.

Nasema kama hakuna Sheria inayolipa kisasi Kwa yule anayeumizwa hakika mauaji ya Wanandoa kamwe hayawezi kuisha na yataongezeka mara dufu mana wakati huu Wa Mitandao Kila kitu kinajidhihirisha mapema.

Namesema Tena Hata MTU akavunja banda la MTU akaiba kuku Wa Sh.1500 Wa Kienyeji anaweza akauawa lakini pia Kuna Sheria ya kumwadhibu na Sio kusema KUWA aliyeibiwa anaweza akafungua kesi ya madai .

Mungu aliyeumba mbingu na nchi akitoa Sheria KUWA mzinifu auawe. Ukiangalia utagundua KUWA Katika jamii zote Duniani kabla ya kuja Dunia ya mashoga wengi kushika Dunia kosa la uzinifu lilikua ni kosa lenye adhabu KUBWA sana katika jamii zote bila kujali Dini zao.

Nikakupa Mfano nenda Kwa Mkuu Wa Majeshi ya Venezuela ukalale na mkewe akufumanie halafu umwambie Aah , kama hakutaki niachie mié mana Mimi Ndio ananipenda!!![emoji1787][emoji1787] Kama hautawekewa Bomu la kurusha makalioni basi utapigwa risasi za makalio.
Lakini ukiiba Hata gari utakamatwa na kupelekwa ukahukumiwe gerezani kama stahiki ya kosa lako .

Jamii inamtetea mzinifu bila kuangalia maumivu ya upande Wa pili. MTU amehangaika na MKE wake na Watoto Kisha anatokea MTU mwenye MKE wake na Watoto wake anaanzisha mahusiano kwenye familia ya MTU na kuharibu hisia na utulivu Wa MTU halafu asiuawe . No. Kifo ni kisasi Chema sana Kwa MTU asiye na kiasi . Wazinifu wanawawaua watu wenye fedha kupitia wake zao Ili wapate ubwerere Wa Mali . Kila MTU aheshimu Ndoa ya Mwingine Ili jamii itulie Sio watu wanaishi kama wanyama.

Anaonywa mara ya kwanza akikiuka basi anakutana na kitu kizito.
 
Kataa ndoa kataa kuoa hivi vyote ni uchuro na ufala kataeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…