Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Anaharibu nchi Askofu au yule anaiyemuogopa askofu?Kumbe nchi hii inaongozwa na Pengo!
Nikiitafsiri timing ya kauli ya Pengo kabla ya Pasaka ilikuwa ni kuitisha serikali kuwa wangetoa tamko zito wakati wa Pasaka.
Polisi wakamkamata asiye na hatia ili kupima upepo, Pasaka imepita bila ya tukio au tamko lolote la maana kutoka kwa Maaskofu...hivyo asiye na hatia anaachiwa sasa.
Maaskofu wanatuharibia nchi!
