Mtuhumiwa mauaji ya padre Mushi hana hatia

Mtuhumiwa mauaji ya padre Mushi hana hatia

Kumbe nchi hii inaongozwa na Pengo!

Nikiitafsiri timing ya kauli ya Pengo kabla ya Pasaka ilikuwa ni kuitisha serikali kuwa wangetoa tamko zito wakati wa Pasaka.

Polisi wakamkamata asiye na hatia ili kupima upepo, Pasaka imepita bila ya tukio au tamko lolote la maana kutoka kwa Maaskofu...hivyo asiye na hatia anaachiwa sasa.

Maaskofu wanatuharibia nchi!
Anaharibu nchi Askofu au yule anaiyemuogopa askofu?
 
Niliongelea kua ile picha ni kijinga na habari ya kukamatwa mtuhumiwa ni ya kijinga ila kuna baadhi ya wadanganyika hawakunielewa/
 
sasa yule kamishna wa polis zanzibar alivyojitamba hakulijua hili? kweli bongo kila kitu siasa!

Kamishna alisema katambulika na wamemtambua na CUF ilishamruka mtuhumiwa.
 
Hivi toka pasaka mpaka sasa mwezi umepita??? Isije kuwa tunajadili kitu kingine hapa!!!
 
Nililitarajia hili. Yule afande aliyemjibu Pengo alisema wahalifu hawakatwi kama kondoo, na huyu alivyokamatwa ni kiulaini sana. Yaani alivyokamatwa bila shida inaonyesha kuwa amekamatwa kikondoo, hivyo huyu si mhalifu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Muuwaji alitumwa na Ikulu kama ilivyo kwa Ramadhan Inghondu
 
Watamtafuta mwingine wa kumbambika kesi wakati muuaji halisi anapeta mtaani.

Shida yao walijifanya kumjibu Pengo haraka haraka haya sasa sijui itakuwaje?
 
Mi nilisema yule fundi seremala wa watu anaonewa tu kwa kufananishwa na vikaragosi vya FBI, we mtu apige dili la mauaji bado aendelee kujigonga vidole kwa nyundo?
 
HIZI NDO PICHA ZA MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI- ZANZIBAR




Hapo ndio tujue kuwa wenzetu hawabahatishi na hawana siasa kwenye kazi zao proffessional....kazi kweli kweli!!wamehadithiwa tu wamemchora mtu yule yule!!Angalia Mchoro wa Polisi Hapo chini na Ufananishe na mtu Huyu..
5+%283%29.jpg


2+%282%29.jpg

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
mchoro.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mchoro Uliyotumika Kumpata Muuaji[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​
ASKARI MWINGINE AGONGWA AKIONGOZA MSAFARA WA SPIKA WA BUNGE

 
Kaka yng, kabla ya kujiuliza kazi mahakama ni ipi ingekua vizuri japo kwa dakika moja kufanyia mapitio sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai ya zanzibar ya mwaka 2004, kuanzia kifungu namba 93 hadi 101 pamoja na vifungu vyake vidogo, hapo nadhani utapata kuelewa kwamba alichofanya DPP ni sahihi au si sahihi,

Naomba kuwasilisha
 
Polis walikurupuka waliposikia Mwadhama Kardinal Pengo ameuliza kulikoni. Pia kanisa limekataa mtuhumiwa huyo!!! Hivi hawajui kanisa katoliki lina kila aina ya wataalam? Ni wasomi wale, mpaka mahakimu na majaji wapo!!
 
Back
Top Bottom