Anaharibu nchi Askofu au yule anaiyemuogopa askofu?Kumbe nchi hii inaongozwa na Pengo!
Nikiitafsiri timing ya kauli ya Pengo kabla ya Pasaka ilikuwa ni kuitisha serikali kuwa wangetoa tamko zito wakati wa Pasaka.
Polisi wakamkamata asiye na hatia ili kupima upepo, Pasaka imepita bila ya tukio au tamko lolote la maana kutoka kwa Maaskofu...hivyo asiye na hatia anaachiwa sasa.
Maaskofu wanatuharibia nchi!
...wote.Anaharibu nchi Askofu au yule anaiyemuogopa askofu?
Kazi ya mahakama ni ipi kama DPP aweza tu kusema mtuhumiwa hana hatia? Uhuni wa wazi!
sasa yule kamishna wa polis zanzibar alivyojitamba hakulijua hili? kweli bongo kila kitu siasa!
nchiKamishna alisema katambulika na wamemtambua na CUF ilishamruka mtuhumiwa.
Shida yao walijifanya kumjibu Pengo haraka haraka haya sasa sijui itakuwaje?
sasa yule kamishna wa polis zanzibar alivyojitamba hakulijua hili? kweli bongo kila kitu siasa!