Mohamed R
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 2,232
- 426
Polisi bana!
Tanzania hatuna historia ya kukamata wahalifu wakubwa ispokuwa kwa wakubwa wenzao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi bana!
mh yametoka moyoni au mdomoniKumbe nchi hii inaongozwa na Pengo!
Nikiitafsiri timing ya kauli ya Pengo kabla ya Pasaka ilikuwa ni kuitisha serikali kuwa wangetoa tamko zito wakati wa Pasaka.
Polisi wakamkamata asiye na hatia ili kupima upepo, Pasaka imepita bila ya tukio au tamko lolote la maana kutoka kwa Maaskofu...hivyo asiye na hatia anaachiwa sasa.
Maaskofu wanatuharibia nchi!