maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
mbona hilo jina la kati lina "ring a bell".
wewe sijui wawshwa na nini
wewe sijui wawshwa na nini
Hilo jina hali "ring a bell" kwako?
wakati naandika hii post nilitaka kwa makusudi niandike hilo jina la kati kwa kifupi...hofu yangu kuu ilikua ww zomba nikasema hebu niangalie kama instinct zangu ziko sahihi....aisee we ni nomaMbona hilo jina la kati lina "ring a bell".
d u mean he/she got BELLS?Because I got ''BALLS'' and not ''BELLS'' like you.....and they ain't ringing you know!!
kakalia nn mkuu....Kuna kitu amekalia ndo kinamsumbua
Kuna kitu kinanitatiza kuhusu huyu jamaa...ana mwezi wa pili huu wanamtangaza mfululizo kwenye magazeti karibia yote hapa nchini....Guardian,Daily news,Mwananchi....na mengineyo,Je ni nani huyu?
Ameiba nini?,...manake naangalia gharama za kutangaza mtuhumiwa si chini ya shilingi laki nne za kitanzania kila siku..wadau kuna mtu anamtambua mtu huyu?
Because I got ''BALLS'' and not ''BELLS'' like you.....and they ain't ringing you know!!
kakalia nn mkuu....
wakati naandika hii post nilitaka kwa makusudi niandike hilo jina la kati kwa kifupi...hofu yangu kuu ilikua ww zomba nikasema hebu niangalie kama instinct zangu ziko sahihi....aisee we ni noma
d u mean he/she got BELLS?
Kuna kitu kinanitatiza kuhusu huyu jamaa...ana mwezi wa pili huu wanamtangaza mfululizo kwenye magazeti karibia yote hapa nchini....Guardian,Daily news,Mwananchi....na mengineyo,Je ni nani huyu?
Ameiba nini?,...manake naangalia gharama za kutangaza mtuhumiwa si chini ya shilingi laki nne za kitanzania kila siku..wadau kuna mtu anamtambua mtu huyu?
kama mtu akiwa na hasira za karibu au mbali....anaweza kukuua....kwa makusudi au bahati mbaya..unajua kukera mzeeHe means his balls are not ringing. Pity.
Kwi kwi kwi teh teh teh.
ningekua mimi ningekua naandikia hii post guatemala...na sio sinza...si ndo wewe mwenyewe?!, tueleze umefanya nini.