maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Kuna kitu kinanitatiza kuhusu huyu jamaa...ana mwezi wa pili huu wanamtangaza mfululizo kwenye magazeti karibia yote hapa nchini....Guardian,Daily news,Mwananchi....na mengineyo,Je ni nani huyu?
Ameiba nini?,...manake naangalia gharama za kutangaza mtuhumiwa si chini ya shilingi laki nne za kitanzania kila siku..wadau kuna mtu anamtambua mtu huyu?
Ameiba nini?,...manake naangalia gharama za kutangaza mtuhumiwa si chini ya shilingi laki nne za kitanzania kila siku..wadau kuna mtu anamtambua mtu huyu?