Mtuhumiwa Rodrick Wilbroad Shio

Mtuhumiwa Rodrick Wilbroad Shio

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,408
Reaction score
6,094
Kuna kitu kinanitatiza kuhusu huyu jamaa...ana mwezi wa pili huu wanamtangaza mfululizo kwenye magazeti karibia yote hapa nchini....Guardian,Daily news,Mwananchi....na mengineyo,Je ni nani huyu?
Ameiba nini?,...manake naangalia gharama za kutangaza mtuhumiwa si chini ya shilingi laki nne za kitanzania kila siku..wadau kuna mtu anamtambua mtu huyu?
 
Mbona hilo jina la kati lina "ring a bell".
wakati naandika hii post nilitaka kwa makusudi niandike hilo jina la kati kwa kifupi...hofu yangu kuu ilikua ww zomba nikasema hebu niangalie kama instinct zangu ziko sahihi....aisee we ni noma
 
Kuna kitu kinanitatiza kuhusu huyu jamaa...ana mwezi wa pili huu wanamtangaza mfululizo kwenye magazeti karibia yote hapa nchini....Guardian,Daily news,Mwananchi....na mengineyo,Je ni nani huyu?
Ameiba nini?,...manake naangalia gharama za kutangaza mtuhumiwa si chini ya shilingi laki nne za kitanzania kila siku..wadau kuna mtu anamtambua mtu huyu?

Kujua kiasi alichoiba ni rahisi. Sasa kusanya magazeti yote yaliyomchapisha na nenda kawaulize wenye magazeti gharama ya tangazo. Ukishapata zidisha kwa siku zilizotangazwa, ukipata jibu hiyo ni asilimia 1 ya kiasi alichoiba. Hapo fanya cross multiplication kisha utajua.

Sihitaji kujua zaidi, kama umefurahia msaada wangu okay, namalizia supu unajua tena jana Ijumaa night niliifanya mambo.
 
wakati naandika hii post nilitaka kwa makusudi niandike hilo jina la kati kwa kifupi...hofu yangu kuu ilikua ww zomba nikasema hebu niangalie kama instinct zangu ziko sahihi....aisee we ni noma

Lina "ring a bell" au sio?
 
Kuna kitu kinanitatiza kuhusu huyu jamaa...ana mwezi wa pili huu wanamtangaza mfululizo kwenye magazeti karibia yote hapa nchini....Guardian,Daily news,Mwananchi....na mengineyo,Je ni nani huyu?
Ameiba nini?,...manake naangalia gharama za kutangaza mtuhumiwa si chini ya shilingi laki nne za kitanzania kila siku..wadau kuna mtu anamtambua mtu huyu?

si ndo wewe mwenyewe?!, tueleze umefanya nini.
 
He means his balls are not ringing. Pity.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
kama mtu akiwa na hasira za karibu au mbali....anaweza kukuua....kwa makusudi au bahati mbaya..unajua kukera mzee
 
Waliobiwa ndio wanajua haswa kiais jamaa alichokomba lazima itakuwa mamilioni mengi ndio maana laki 4 hizo si kitu kwao kwa sasa...wanahakikisha jamaa anasomeka akilini mwa watu ili akionekana tu akamatwe!
 
Back
Top Bottom