KIMAROO
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 453
- 259
Mtuhumiwa wa kurusha Bomu kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, parokia ya Olasiti, Jimbo Kuu la Arusha, Victor Ambrose Calist amefikishwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, mbele ya Hakimu Mkazi, Devota Kamuzora leo.
Ambrose amesomewa mashtaka 21 ya kuua na kujaribu kuua wakati wa uzinduzi wa kanisa hilo ambao mgeni rasmi alikua Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu, Fransisco Padilla ambaye alikuwa na mwenyeji wake Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu.
source wavuti