Mtuhumiwa wa bomu la Olasiti afikishwa mahakamani

KIMAROO

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
453
Reaction score
259
Mtuhumiwa wa kurusha Bomu kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, parokia ya Olasiti, Jimbo Kuu la Arusha, Victor Ambrose Calist amefikishwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, mbele ya Hakimu Mkazi, Devota Kamuzora leo.
Ambrose amesomewa mashtaka 21 ya kuua na kujaribu kuua wakati wa uzinduzi wa kanisa hilo ambao mgeni rasmi alikua Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu, Fransisco Padilla ambaye alikuwa na mwenyeji wake Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu.
source wavuti olasiti.jpeg
 
Muuaji yupo huru tu nchi bwan kwa kubambikia watu kesii!?

'tafuta padre tafuta kardinali, mchunngaji au hata mlei uuuuuuuuuuaaaaa aaaaa...!uue dhahiri ama kwa kificho'' shehe Ilunga
 
What was his motive? Poor boy! Wameshamtoa sadaka.
 
Muuaji yupo huru tu nchi bwan kwa kubambikia watu kesii!?

'tafuta padre tafuta kardinali, mchunngaji au hata mlei uuuuuuuuuuaaaaa aaaaa...!uue dhahiri ama kwa kificho'' shehe Ilunga
Tumechoshwa na uchochezi ktk jukwaa hili. Nasıjui kwanini hampewi ban.
 
Uchochezi gani hapo wewe.....?????? Kwani hayo maneno Sheikh Illunga ajayasema, vipi cd wewe hujaziona......Alichafanya hapo amemnukuu Sheikh....Wewe ndo unayetaka kuleta uchochezi...
 
Ishu ni kwamba kama polisi wanatumia clip from you tube kumshtaki mtu. Mbona ilunga hakamatwi wakati yupo you tube na ndiye aliyetamka hayo maneno?

Utasemaje ni uchochezi?
 
Police-CCM wametoa Filamu ya pili! ya Ulimboka haikufika mwisho iliishia katikati!
 
Uchochezi gani hapo wewe.....?????? Kwani hayo maneno Sheikh Illunga ajayasema, vipi cd wewe hujaziona......Alichafanya hapo amemnukuu Sheikh....Wewe ndo unayetaka kuleta uchochezi...
Nchi hii bwana sijui lini tutaacha kuwa wanafiki wa kuhoji baadhi ya kauli na kuacha nyingine. Hivi mbona wana JF tuko biased hivi. Mwislam namtetea mwislam mwenzake CCM nao hivyohivyo. Ukisema Mheshimiwa mbowe pia aisaidie polisi kwa kusema NCHI HAITATAWALIKA MPAKA KIELEWEKE ndiyo basi tena. KAULI HII NI YA KIHAINI🙄🙄
 
Tusielekee huko jf itujenge tusitengane kwa udin au siasa km kijana ametumwa ataongea tu
 
hapa udini uwe kando, REMOTE anaweza kuwa amefika mbali!!
jamani ni kweli dereva wa bodaboda wa wiki mbili, failure wa std 7, bodaboda mwenziye na mchajisha simu ni watuhumiwa wa ugaidi? yaani hapa, iko hivi mtu anakibada cha kuchaji simu ( na bishara zingine) anachukuliwa kama mhusika, mtu anaachiwa simu akamchajie mtu anahusika kama mtuhumiwa?
Wale wageni wote wako huru, waliowapokea hawana kesi!!!(impliedly)
Hivyo hii kesi nia ya watu 3!!!! what the hell is this!! inauma sana!!! inashusha thamanai na weledi wa jeshila polisi
Sp
 
Back
Top Bottom