Mtuhumiwa wa mauaji ya Kware akamatwa, akiri kuua wanawake wasiopungua 42 ikiwemo mkewe

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716

Taarifa za sasa zinasema Muuaji wa Watu waliokutwa kwenye viroba huko Kware amepatikana na anahojiwa na Polisi kujua asili yake na sababu za kufanya Mauaji hayo.

Source: Citizen TV

====

DCI nchini Kenya, Mohamed Amin amesema mtuhumiwa aliyekamatwa ,auaji ya Kware, Collins Khalisia mwenye umri wa miaka 33 kutoka Vihiga amekiri kuua wanawake wasiopungua 42 ikiwemo mkewe kati ya mwaka 2022 na Julai 11, 2024.

Amekutwa na simu na laini za simu wakati anakamatwa Kayole leo.

====

UPDATE
- Collins Jumaisi Khalusha, akana kufanya mauaji ya Wanawake 42
 
Taarifa za sasa zinasema Muuwaji wa Watu waliokutwa kwenye viroba huko Kware amepatikana na anahojiwa na Polisi kujua asili yake na sababu za kufanya Mauaji hayo

Source: Citizen TV
Pengine atakuwa ametokea kusini mashariki mwa Kenya. Kwani wale waliojaribu kule mbugani tayari walishakamatwa au ndio waliotorokea Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…